NEW HIP HOP ARTIST N.J.I.G.E (LP MASTER) ft R.O.M.A & MAKAMUA


ARTIST; N.J.I.G.E (LP MASTER) ft R.O.M.A & MAKAMUA
SONG: JITUME
PRODUCER: TC
MESSAGE; "THERE IS NO EASY WALK TO SUCCESS" Maisha ni mapambano kijanaa kama kijana unabidi ujitume kwani hakuna atakaye kusaidia zaidi ya kujisaidia mwenyewe....!!!!!
CONTACTS; +255716145534

RUKSA KUTOKA KWA ROMA MWENYEWE HII HAPA NYIMBO YAKE DOWNLOAD NOW 2030


Nyimbo iyo hapo ni bure unaweza ku download ni ruksa kutoka kwa Roma mwenyewe ndo kaniambia ni i-iweke usije ukafikiri na mimi ni msnichi kama wengine ,bonge la ngoma burudika, elimika a habarika kwa kupitia nyimbo hii.


Huyu ndo mtoto aliyeimba chorus anaitwa Story

MAZISHI YA SAJUKI,RAISI KIKWETE,WABUNGE NA WASANII WENGI WAUDHULIA.


Mwili wa marehemu ukitolewa nyumba kueleka msikitini then kwenye makabuli ya kisutu dsm.


                                           mbunge wa kigoma zito kabwe na yeye alikuwepo

HIKI NDICHO KILICHO MUHUA MAREHEMU SAJUKI

Taarifa za uhakika ni kwamba kweli mwigizaji Sajuki amefariki dunia leo asubuhi (jan 2 2013) katika hospitali ya Muhimbili. Alilazwa hapo kwa wiki mbili ambapo alikua anasubiri kupata urahisi wa kusafiri kurudi India kwenye matibabu ambayo alipangiwa kurudi tena december 2012.
Dinno ambae ni rafiki wa karibu wa Sajuki ameniambia kwamba tatizo kubwa lililomzuia Sajuki kurudi India ni pumzi ambapo walikua wanatafuta ndege yenye huduma ya gesi.
Baada ya kuhangaika sana, dakika za mwisho ndio walikua wamepata ndege ambayo imekubali kutoa huduma ya gesi kwa Sajuki ambapo Shirika la ndege la Emirates ndio lilikua limekubali kutoa huduma hiyo kumsafirisha mpaka India.
Sajuki alikua na tatizo kubwa la kupumua wakati huu ambapo Dinno amethibitisha kwamba upumuaji wake ulikua unabadilika mara kwa mara.

Msiba upo Tabata, 
Mwenyenzi Mungu amlaze pema Sajuki.

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU SAJUKI MAHALI PEMA PEPONI.

Napenda kuchukua nafasi ya kumuombea ndugu yetu marehemu sajuki aliye fariki leo tarehee 02-01-2013,

Ehee mwenyezi mungu nakuomba umsamehe dhambi zake zote,uipeleke roho yake mahali pema peponi, raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umwangazie na apumzike kwa amani.

Napenda kutoa pole kwa familia yake na mashabiki wake na kwa taifa nzima kwa ujumla kwa kumpoteza mtu muhimu sana kwa taifa letu. 
Amina. 

CEO WA BLOG HII NAWATAKIA HERI YA MWAKA MPYA NA BARAKA TELE.

MIMI ELIAS CHARLES TYENYI NIKIWA NDO MMILIKI WA BLOG HII TOKA NILIPO IFUNGUA MWAKA 2010,MPAKA LEO BADO NAENDELEA KUSHARE NA WEWE KWA KILA KITU HUSUSANI BURUDANI NA MICHEZO KINACHOTOKEA HAPA NCHINI KWETU NA NNJE YA NCHI,
SO
NAPENDA KUWATAKIA HERI YA MWAKA MPYA NDUGU ZANGU WOTE MNAOTEMBELEA BLOG HII,MUNGU AWABARIKI NA AWAPE MAISHA MAREFU NA YENYE MAFANIKIO,AWAPUNGUZIE STRESS ZA KIMAISHA NA ZA MAPENZI AWAPE AFYA BORA NA MIAKA MINGI YA KUISHI DUNIANI.
MIMI BINAFSI NIMEFURAHI SANA KUMALIZA MWAKA 2012 NA KUINGIA MWAKA MWINGINE 2013 INGAWA NA NDO UMRI UNAKWENDA ILA HATUNA JINSI SIKU ZINATAKIWA ZIENDI WAPUNGUE WENGINE NA WAONGEZEKE WENGINE.
UJUMBE AMBAO NAPENDA KUWAPA NA NDO NATEGEMEA KUA NDO MOTO WA MWAKA HUU NI KWAMBA,,
MAPENZI SIO BIASHARA WALA SIO PROJECT WALA SIO KITU CHA KUKOMOANA MAPENZI NI STAREHE:

ASANTE MUNGU AKUBARIKI
MIMI ELIAS CHARLESS TYENY
CEO Eliascharzyblog
DAR ES SALAAM|

TOP 20 ZA BONGO FLEVA ZA MWISHO WA MWAKA .


 

20.CHID BENZ ft DULLY SYKIS - NIMERUDI

 

19.FID Q - SIHITAJI MARAFIKI

18.LINEX and SUMALEE - BODA BODA

 

17. MAKAMUA ft SARAHA - DONT CRY

 

16.CYRILL KAMIKAZE ft BOB JUNIOR - UTAMU WA CHOKLATE

 

15.ALIKIBA - MY EVERTHING

JIPATIE SASA NYIMBO MPYA YA ROMA MKATOLIKI - 2030

KAMA BADO HAUJASIKIA NA HAUJAPATA NGOMA MPYA YA ROMA NA UNATAKA UWE NAYO FANYA HIVI.....TUMA 3000/= KWA NJIA YA MPESA 0762893469 AU TIGO PESA 0717720078 KISHA TUMA NA EMAIL YAKO NA JINA LAKO LA AKAUNTI KWA NAMBA HIZO, AU KAMA EMAIL MAJANGA BASI TUMA NAMBA YAKO NITAKURUSHIA KWA WASSAP!! KAMA WEWE NI REAL FUN WA ROMA UTALISAPOTI HILI...AZAWAIZI ISIKIZE REDIONI TU UTAISIKIA ITAKAPOPIGWA!! NA UTAKAPOIPATA PLIZ USIIWEKE NET KAMA WENGINE WANAVYOSNITCH!!! WALA USIIBURN NA KUMPA MWINGINE AMBAE HAJACHANGIA HILI!!! 3000/=TU NA EMAIL YAKO
Haya ni maneno ya Roma mwenyewe na Ukituma 
pesa anapokea mwenyewe na anakutumia yeye mwenyewe
hakuna uchakachuzi hapa wala utapeli,do it now ni bonge 
la ngoma aina mfono kwa hapa bongo na nnje ya bongo

SIKILIZA INTRO YA NYIMBO MPYA YA ROMA 2030


MASHAIRI YA WIMBO WA DIAMOND - KESHO

{Chorous}
=i> Mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
       nataka kesho twende ukamuone mama x2
       {Verse 1}
 =I> Kwanza kabisa ntanyonga Tai
       T"shirt na Jeans ntatupa kidogo..
       Unite Nasibu usiniite Dai
       Asije kukuona muhuni akapandisha Mbogo...
       Naukifika uagize Chai
       Savanna Takila uzipe kisogo...
       Kuhusu mavazi kimini haifai
       Tupia pendeza ila za Hekima Logo...
=I> Even though wanaponda eti we ni kicheche
       Waambie ndoo  chaguo langu sasa wanicheke x2
       {Chorous}
 =I> Minataka kesho twende nikupeleke nyumbani
        Nataka kesho twende ukamuone mama x2
        {Verse 2}
        Usilete swaga za Nainai
        Ukanyoa kiduku kama Moze Iyobo..
        Eti shoping twende Tai
        wakati Dadaangu anaduka kigogo..
        Ukikuta Nguna usikatae
        we zuga unapenda hata kama wa Muhogo..
        Kuhusu kabila mbona Sadai
        Mama angu hana noma hata kama Mgogo
 =I> Even though wanaponda eti we ni kicheche
        Waambie ndoo  chaguo langu sasa wanicheke x2
        {Chorous}
  =I> Minataka kesho twende nikupeleke nyumbani
         Nataka kesho twende ukamuone mama x2
Mama yangu mama...
Mama Naseeb mama...
Mama Diamond mama...
Mama yangu nyumbani...
Mama Chali mama...
Mama Sepetu mama...
Mama Kidoti mama...
Kwa mama Diamond nyumbani...

        {Chorous}
  =I> Minataka kesho twende nikupeleke nyumbani
         Nataka kesho twende ukamuone mama x2

BREAKING NEWS:LULU SASA YUPO MTAANI KWA DHAMANA


MSANII WA BONGO MOVIE ELIZABETH MAIKO as LULU, LEO HII AMEPEWA DHAMANA NA SASA YUPO MTANI,DHAMANA HIYO IMETOLEWA LEO KATIKA MAHAKAMA YA RUFAA YA KISUTU DAR ES SALAAM. 

Download New Track DJ CHOKA FT MABESTE,GOSBY,VANNESA and M-RAP - PRESS PLAY


Ile 12/12/12 imewadia leo na ile ngoma tulio kua tunaisubili kwa hamu sana sasa ndo hii hapa ngoma ya DJ CHOKA inayo itwa PRESS PLAY akiwa amewashirkisha wasanii kibao tu ambao ni  Mabeste,,Gosby,,M-Rap na Vannesa,ni ngoma kali sana ambayo imetengenezwa na studio za B-hits, beat katengeneza Pancho latino na mixng Kafanya Harm B.

Hii nyimbo ya G-nako ft ben pol naipenda kinoma ndo ngoma yangu kali ya funga mwaka yingine.


Angalia Trailer ya Movie ya Sikati Tamaa ya Msanii Darasa

KAA TAYARI KUSIKILIZA NA KUDOWNLOAD NYIMBO MPYA YA ROMA MKATOLIKI.

Mfalme wa hip hop Tanzania Roma mkatoliki anatarajia kuachia nyimbo yake mpya Itakayo itwa 2030 siku ya jumatano tarehee 12/12/2012,so usikose kutembelea blog yako ya kijanja ili uweze kuidownload  na kuisikiliza mwenyewe kwenye simu yako au kwenye redio yako popote pale,
Roma mwenyewe amefunguka kuwa katika nyimbo zake zote hii ndo best kuliko zote.

Angalia watu walivyo kua wakimlilia sharomilionea bahada ya mwili wake kuwasili nyumbani kwa kuzikwa.

Huu ndo utajiri wa Mr blue toka aanze mziki mpaka sasa zaidi ya miaka 10.


Staa kutoka ’game’ ya muziki wa kizazi kipya Bongo, Herry Samir ‘Mr Blu’ amesema  nguvu ya zaidi ya 10 aliyoiweka kwenye fani hiyo sasa imemfanya  kumiliki kiasi kikubwa  cha ‘ngawira’ za  kibongo (Shilingi).
Katika Interview ya dakika 45 aliyoifanya, juzi kati, Blu ambaye sasa yuko kwenye  kilele cha Bongo Fleva akisumbua na ngoma yake mpya inayobeba jina la ‘Nipende kama nilivyo’ alifunguka kuwa si mara moja  mtu anaweza  kuzungumza juu ya  kile kinachomhusu kama anachokifanya yeye lakini ameamua kufanya hivyo kwa lengo la  kuwaonyesha watu kuwa kile wanachokifanya wasanii ni kazi ama bishara kama zilivyo  zingine.
“Kwanza, nashukuru kwa kuwa  umenifuata na kuniuliza mambo kama hayo,  ukweli ni kuwa nafahamu ni ngumu kwa mtu kuzungumza  juu ya vitu kama hivyo lakini kwa kuwa tunachokifanya wasanii ni kazi kama zilivyo zingine sina tatizo nitakujibu kila kitu katika  ukweli na kwa ufupi sana” alisema Blu.
Akiendelea Blu ambaye pia  mashabiki wake hupenda kumuita ‘Babylon Baysser’ alisema  kufanikiwa  kwa   wimbo wake wa kwanza ‘Niite Mr Blu’ ndiyo ulikuwa mwanzo wa  mafanikio licha ya  matatizo kadhaa aliyokutana nayo mara baada ya kupata umaarufu.
“Kulikuwana matatizo mengi sana baada ya kufanikiwa kwa ngoma hiyo, lakini nashukuru Mungu kuwa ndani ya muda wote huo  nimefanikiwa kujenga nyumba yangu,kununua gari, na pia akaunti yangu kwa sasa iko poa sana”,
“eee ndiyo natarajia  kuoa, na kwa kuwa tayari nina mtoto haina shaka kuwa mama mtoto wangu ndiye nitakayempa heshima hiyo” kwa hiyo hicho ndiyo ninachoweza kusema kuwa  huo ndiyo utajiri wangu ndani  ya miaka zaidi ya 10 kwenye gemu kwa kuwa nimetumia nguvu zangu kupata vitu hivyo vyote na siku zote Mungu amekuwa akinisimamia” alisema Blu.

kwenye Tangazo la Airtel sharomilionea na King Majuto.

Cheki hii video ya sharomilionea na kitale lazima ucheke hii

Download Track ya kaza Moyo Special kwa sharomilionea kutoka kwa Wasanii wa bongo flava

Nyimbo ya kaza moyo iliyofanywa na wasanii kama ,Shetta, Dayna Nyange, shilole mohamed, Cannal Top, Rich Mavoko, Shadoo, Amazon, Barnabas Elias, Stamina, Dan rock, Suma Mnazaleti, Eric Mlindima, Muba c, Seif.
C9Kanjenje
KWETU studio
R.I.P Sharo Milionea 

Ndani ya mwaka huu 2012 mpaka sasa tumepoteza Waigizaji Wa 4,watatu wafariki mwezi wa 11.

(Hussen Ramadhani) as Sharomilione afariki tarehe 26-12-2012
John Maganga afariki wiki iliyopita ya mwizi huu wa 11.
Mlopelo naye afariki wiki iliyo isha ya mwezi wa huu wa 11 siku ya Alhamis
Stiven kanumba alifariki mwezi wa 4 mwaka huu wa 2012

Chris Brown Afunguka kuhusu Rihanna

The R&B star amefunguka vizuri zaidi kuhusu uhusiano wake na ex girlfriend wake Rihanna baada ya kuonekana pamoja mara kwa mara bila kutoa tamko rasmi linalozungumzia uhusiano wa wawili hao ukiacha mbali ile video aliyoiachia baada ya kuachana na Karrueche Tran na kukiri kuwa bado anawapenda wote. The ‘don’t work me up’ hit maker amesema katika interview, “ni mimi kuwa mkweli na nafsi yangu.

Jana Usiku Maisha clab kwenye uzinduzi wa Nyimbo ya shetta bonge la bwana.

 Mashabiki


 shilole

Mtoto wa dj choka aliyezaliwa leo 22/11/2012.


 Mtoto wa dj choka kazaliwa leo tarehee 22-11-2012 huku dj choka akiwa anampango wa kuachia ngoma mbili kwa pamoja tarehee 12-12-2012.mtoto kazaliwa leo asubuhi katika hospitali ya lufaa ya lugalo dsm.

Dj choka achora tatoo ya jina la Prof Jay kwa kumuonyesha respect ya msahada mkubwa ktk maisha yake.

DJ CHOKA
Ni dj bora sana hapa tanzania akuna asiye mjua,juzi alipost picha hii kwenye page yake ya facebook na kuweka wazi kua Prof Jay ndio mtu muhimu sana katika maisha yake na ndio aliye mfanikisha mpaka kufikia hapo alipo,akasema pia sio kumkumbuka mtu mpaka atakapo kufa ndio uonyeshe kua kile kilicho ktk moyo wako so yeye kafanya ivi mapema na tatoo aliyo chora aitofutika ktk maisha yake yote.