1
2
3
sharomilionea alizikwa tarehe
28/11/2012, marehemu sharomilionea alikua muigizaji na muimbaji wa bongo
flava,marehemu amefariki hajaa acha mtoto wala mjane,sharomilionea
amefariki akiacha pengo kubwa sana katika tasnia ya vipaji tanzania
kutokana na yeye kua na vipaji vingi sana,sharomilionea tutamkumbuka
sana kwa maneno yake,tembea yake,sauti yake na mambo yake mengi sana
aliyo kua akiyafanya,mungu ailaze rohoo ya marehemu mahali pema
peponi.Amen
4
5
8
9
10
Akiwa na king majuto
No comments:
Post a Comment