Music download

http://www.hulkshare.com/
Hulkshare ni website inayo weza kukusaidia kupata nyimbo za Tanzania /east africa na pamoja na nchi za nnje nyimbo izo zilizo kwa njia ya Audio,kwa ku download kupitia webiste ya
www.hulkshare.com
unachotakiwa kufanya ni kufungua kwa kuandika hiyo link au ku click hiyo picha hapo juu:

 http://www.dilandau.eu/download_music/
 
Dilandau ni website inayo kusaidia kupata nyimbo za nnje ya tanzania kwa kudownload  nyimbo ambazo zipo kwa njia ya Audio ndi utazipata kupitia page hii ya
 http://www.dilandau.eu/
unachotakiwa kufanya ni kufungua kwa kuandika hiyo link au ku click hiyo picha hapo juu:

No comments:

Post a Comment