MAZISHI YA SAJUKI,RAISI KIKWETE,WABUNGE NA WASANII WENGI WAUDHULIA.


Mwili wa marehemu ukitolewa nyumba kueleka msikitini then kwenye makabuli ya kisutu dsm.


                                           mbunge wa kigoma zito kabwe na yeye alikuwepo



 Cloud na Tino waigizaji wenzake wakiwa wamebaba mwili wa sajuki

 Masanja mchekeshaji na Msanii wa bongo flava linex kulia

   Mtanga  Mchekeshaji wa ze comedy ya EATV kavaa tishet nyekundu


Mwanamziki mkongwe mzee king kiki na Mwana fa na Prof J
Raisi kikwete akiweka mchanga kwenye kaburi la marehemu
                                     

No comments:

Post a Comment