Dj choka achora tatoo ya jina la Prof Jay kwa kumuonyesha respect ya msahada mkubwa ktk maisha yake.

DJ CHOKA
Ni dj bora sana hapa tanzania akuna asiye mjua,juzi alipost picha hii kwenye page yake ya facebook na kuweka wazi kua Prof Jay ndio mtu muhimu sana katika maisha yake na ndio aliye mfanikisha mpaka kufikia hapo alipo,akasema pia sio kumkumbuka mtu mpaka atakapo kufa ndio uonyeshe kua kile kilicho ktk moyo wako so yeye kafanya ivi mapema na tatoo aliyo chora aitofutika ktk maisha yake yote.



No comments:

Post a Comment