Picha za Ney wa mitego na Nisha wa bongo movie wakiwa katika mahaba

NEY NA NISHA
 Ney wa mitego staa anaye imba nyimbo zake za kuwaponda mademu wa bongo movie akidai ni malaya wenye viwango,
lakini kumbe na yeye mwenyewe ndo anako punguzia zile maji mazito,ikiwa juzi tu ney wa mitego alisema kua hana uhusiano na nisha lakini picha izi zimezagaa kwenye mitandao na aijulikani aliye zisambaza ni nani.


No comments:

Post a Comment