The
R&B star amefunguka vizuri zaidi kuhusu uhusiano wake na ex
girlfriend wake Rihanna baada ya kuonekana pamoja mara kwa mara bila
kutoa tamko rasmi linalozungumzia uhusiano wa wawili hao ukiacha mbali
ile video aliyoiachia baada ya kuachana na Karrueche Tran na kukiri kuwa
bado anawapenda wote. The ‘don’t work me up’ hit maker amesema katika
interview, “ni mimi kuwa mkweli na nafsi yangu.
Mimi na Rihanna tuna
historia, na mimi na yeye tutaendelea kuwa best friends, na tunafanyia
kazi mahusiano yetu sasa.” Mkali huyo anajua kabisa kuwa watu wanasema
mengi kuhusu mahusiano yao ambayo hayaeleweki vizuri mbele za watu, ni
marafiki wa aina gani ama ni wapenzi wa aina gani hawa. Kuhusu hilo
akafunguka, “nadhani kila mtu anaguswa na hii situation ya zamani, bado
ni hali ya hatari, kwa sababu ni yale tunayo-deal nayo leo na ndio maana
nafanya Jenesse Center ambayo inaonesha kuwa domestic Violence sio
sawa. Lakini kuhusu maisha yetu, nadhani watu wanatakiwa kuyapa nafasi,
sio tu kuyapa nafasi, shut the hell up! Mwisho wa siku, maoni yoyote
yale hayawezi kubadili chochote ninachofanya.” Ingawa anafeeling kwa
Rihanna, Breezy amesema haoni dalili za ndoa katika maisha yao ya hivi
karibuni,na kwa nini aliamua kuachia video ambayo aliongelea kuhusu
kuwapenda wanawake wawili. “Ninapojisikia hali flani, iwe ni ya muziki
ama emotion, najisikia ni vizuri kushare na watu, kwa sababu ni
experience na fundisho katika maisha.” Na kuhusu kuwepo na wazo la ndoa
alifunguka, “sijaribu kuharakisha mambo, kuweka pete yeyote kwenye
kidole cha mtu yeyote au kudanganya mtu yeyote. Ni bora niwe mkweli
kabisa.”
No comments:
Post a Comment