Msanii nguli wa bongo flava mr misifaa au hanter au mtoto wa kariakoo(dully syks) ameanza ku shut video ya nyimbo yake mpya inayo itwa Utamu,
aliyo record katika studio za bongo record akiwa amewashirikisha marafiki wa wili Ommy Dimpoz na diamond plutnum,video hiyo inayo tengenezwa na mtu mziama Adamu juma wa Next leval |
No comments:
Post a Comment