DJ CHOKA
Ukizungumzia ukuaji nwa muziki wa bongo basi katika wale top 3 ya wanao usapoti na kuufanya ukue zaidi basi dj choka lazima awepo kwenye iyo top 3,anatoa shavu kwa wasanii wote wanaochipukia na mastaa,na katika swala la u dj ni dj mzuri sana na ni dj ambaye anaweza kucheza na mashabiki mpaka wanachanganyikiwa,sasa basi bahada ya kuachia ngoma yake ya PAMOJA WE CAN iliyo hit sana akiwa amewashrikisha wasanii kibao sasa anampango wa kuachia albamu yake mpya ambayo inatengenezwa na studio za B-hits chini ya Pancho latino,Album hiyo itakua tayari mwezi ujao desemba 12 mwaka huu.na kabla ya hapo ataachia ngoma mbili kwa mpigo moja ikiwa audio na nyingine video.
No comments:
Post a Comment