Msanii wa Bongo Fleva almaarufu kama Chegge Chigunda anayekubalia hapa Tzee mpaka East Africa kwa ngoma zake kali kama Mwanayumba,Kinomanoma,Mikanda,Mkono mmoja na ngoma nyingine kali sasa
Latest Info kutoka kwa msanii huyu ni kwamba aliamua kuweka wazi
kwamba kwa sasa japokuwa wameshatoka ngoma yao mpya ya kundi
inayokwenda kwa jina la Tutaonekanaje na
wameshaitoa katika vituo mbalimbali sasa habari nzuri nyingine kutoka
katika kundi ili ni kwamba wamepanga mikakati ya kufanya movie yao mpya
inayokwenda kwa jina la Mwanayumba.Kwa hiyo wale mashabiki wa Tmk Wanaume Family dzain kama inawahusu hii.
No comments:
Post a Comment