Zimebaki siku chache sana za fainali za channel O Mpigie kura saivi AY na CPwaa

AY
 Kama mnavyo fahamu wasanii wetu wa tanzania Ay na Cpwaa ndi washiriki wa kubwa kwenye tunzo za channel O,kwa kuonyesha uzalendo piga kura sasa ivi,
kwa pumpigia kura AY fungua sehemu ya kuandika sms/mesege afu andika kama ifuatavyo.
  sms ya kwanza andika 
1E tuma kwenda +27839208406

sms ya pili andika
13C  tuma kwenda +27839208406

sms ya tatu ansika
14J tuma kwenda +27839208406


Na kwa Cpwaa una andika kama ifuatavyo




  





5F tuma kwenda +27839208406



















No comments:

Post a Comment