![]() |
Mashabiki wakiwa wameandamana |
![]() |
kaseja |
lawa zao zikidai kua kaseja kwa sasa kiwango kimeisha,
lakini mimi napenda kuwa shauri mashabiki wa simba kua sio kila mechi mnatakiwa kushinda ata barcelona nayo huwa inafungwa so tulieni na cha msingi ni kuwashauri vuiongozi wa timu waboreshe palipo na tatizo.
mimi yangu hayo tu,shabiki maridadi sana wa yanga Elias charless.
No comments:
Post a Comment