Raisi kikwete azindua leo Arusha kua jiji Rasmi,katika swala la burudani msanii wa bongo flaver,diamond platinum alikula shavu ilo,wasanii wa hip hop kutoka mkoa wa arusha kama joh makini,nakaya na wengine wamelala mikia sana kitendo hicho cha kumualika msanii ambaye sio wa arusha na kuwa acha wa arusha.
No comments:
Post a Comment