Ben Pol kuingia kwenye bongo movie
Msanii wa
Bongo Fleva wa kizazi kipya almaarufu kwa jina la
Ben Pol anayetamba na ngoma kali hapa Tzee kama Nikikupata,Maumivu,Pete.
Latest info
kutoka kwa msanii huyu ni kwamba baada ya kutoka na ngoma yake ya Pete sasa ameamua kuingia katika tasnia ya Bongo movie kwani alisema kwamba japokuwa zamani alishawahi kuwa Assistant Director katika movie ya Long number lakini
leo hii anafunguka na kusema kwamba kwasasa ameshafanya movie mpya na
karabani bila kusahau alimalizia kwa kusema kwamba mashabiki wake wakae
tayari kwa ujio wake katika tasnia ya Bong movies.
No comments:
Post a Comment