Watanzaniabara waishio Zanzibar
wamelalamika tena kwamba wanasumbuliwa na kufanyiwa fujo na wazanzibari
wanaolalamika kwamba wabara wanawaletea nuksi, wanafanya wanakua
masikini, wanawaibia na hawautaki muungano.
Mmoja kati ya watanzania ambao
wamezishuhudia hizo fujo kwa siku kadhaa mfululizo amesema “tangu siku
ya muungano kulikua na vuguvugu kwamba watu watafanya fujo kwa sababu
hawataki muungano lakini sasa hivi hali ndio imekua mbaya zaidi yani
ukienda sokoni tu pale darajani ambako ndio kama mjini centre,
wanatudhihaki yani ile dhihaka ambayo tunafanyiwa kiukweli ni jambo la
kusikitisha sana”
No comments:
Post a Comment