Rick Ross akiwa na Swizz Beatz na P diddy ambao walizungumzia pia maendeleo ya MMG ya Rick Ross,
Omarion baada ya kutangazwa kujiunga na Maybach Maybach empire.
Pamoja na kufanya utambulisho huo MMG imetangaza tarehe ya midundo mipya ambapo MMG
– Self Made Vol. 2 (June 26th) , French Montana – Excuse My French
(July 17th) , Rick Ross – God Forgives I Don’t (July 31st) Meek Mill –
Dreams & Nightmares (August 28th) na Wale – TBA (January 2013
No comments:
Post a Comment