Nilikuwa katika mapumziko ya kushangilia siku ya kuzaliwa kwangu.

              ELIAS CHARLESS TYENYI
 NASHUKURU MUNGU MWEZI UMEISHA SALAMA KWANI MWEZI ULIO ISHA ULIKUWA MWEZI MZURI NA FURAHA KWANGU NA KWA FAMILI YANGU,TULIFURAHIA SANA KWANI ILIKUWA KUMBUKUMBU NZURI SANA YA KUZALIWA KWANGU,NASHUKURU WOTE MLIO NIPA HONGERA YA KUZALIWA,NAWAAHIDI MUDA SIO MREFU NITAWEKA PICHA ZA SHEREHE.

No comments:

Post a Comment