Leo ndo siku ya kuzaliwa kwangu Jamani.

Leo saa mbili usiku tarehe 1 mwezi wa 9.ndipo mama,na baba yangu walipo kamilisha furaha yao ya kutamani kuzaa mtoto wa kiume atimaye furaha ikatimia na walifurahi sana kushinda maelezo,kiukweli nimefurahi sana kufika siku ya leo Siku ya leo imenifikisha kufikisha Miaka 21 tangu nilipo zaliwa.

No comments:

Post a Comment