Yanga ya Mkatakata simba mapanga ya shingo.

Vijana wa mjini Jangwani ya mchinga Simba 1-0.katika kipindi kigumu cha dakika 15 za mwisho ya mchezo kabla ya kuelekea matuta kama walivyo kuwa wakitegemea simba wakashindie kwenye kibuyu hicho.
Hatimaye kapigwa kabla ya wakati huo na mpira ukaisha bahada ya dakika 120 na tatu za masesa jumla dakika 123,Yanga 1 Simba ().
Hili ndo lijamaa ambalo lilisababisha Mamilioni ya Watanzania Wanao ipenda Yanga kumake same Noisi na fujo na mayowe mengi bahada ya kumnyanyasa  Juma k Juma kumfanya aonekane mdogo ndani ya Goli kubwa la uwanja wa Taifa
Walikuwa na kelele Nyingi sana Kabla Asamoah Ajawafanya simba wateja wake wa madafu,bahada ya asamoh kumkandamiza Juma k Juma hawa jamaa walipoa kama Apple jekundu lililotulia kwenye Friji.Poleni sana Simba Sport Club.

No comments:

Post a Comment