Yanga kutinga Fainali

Yanga kuingia fainali bahada ya kumtandika St Gorge mabao 5 kwa 4 katika kimbwembwe cha Penati,Mimi na jamaa zangu Fulani Tumefulai sana Kuona kombe linabaki Hapa hapa Tanzania.Jumapili Anakutana na Simba Katika Fainali.
Simba Sport Club Wakijiandaa Na Fainali Jumapili .

No comments:

Post a Comment