Siku chache zimebaki kufaya mtihani wa Uingereza.

Siku chache sana zimebakia kufanya mtihani wangu wa kuhitimu Diploma ya Information Technology,Mtihani huo unao toka City and Guilds ya Uingereza yani tumbo joto balaa,muda wote nipo na soma tu duu hee mungu nisaidie.

No comments:

Post a Comment