Msanii
Mr Blue aka Bayser baada ya kujichimbia studio kwa muda sasa yuko tayari kutoa ngoma mpya itakayohusu bata za weekend. Nyimbo hiyo itakwenda kwa jina
“Tilalilah” na itakuwa na mahadhi yaliyochangamka. Blue amefunguka kuwa ngoma mpya
“wangu” aliyofanya na
Lady Jay Dee ni sehemu ya maandalizi ya album yake mpya.
Keep it locked!!!
No comments:
Post a Comment