Unapajua Singidani Kwenye mawe?.

Maeneo fulani hivii pande za singida hii sehemu inaitwa singidani kwajuu kidogo ya ziwa singidani so nilikuwa nimekwenda kupunga upepo,ebwana hii sehemu kuna mawe makubwa mengi balaa,haya ni bahazi tu sehemu ninzuri sana tena inavutia vibaya mno nakushauri ukiwa singida usisite kwenda singidani kwani uta enjoy sana.

                                                              Mr Elias Charless Tyenyi 
                                                            Mr Elias Charles Tyenyi     

No comments:

Post a Comment