NYOTA wa miondoko ya muziki wa Kizazi Kipya ‘Bongo Fleva’ Juma Kassim Kiroboto ‘Sir Nature’ amesema yuko katika maandalizi ya mwisho ya kufungua studio yake binafsi ya ‘Halisi Records’.
kwenye ukumbi wa TCC Chang’ombe, jijini Dar es Salaam.
Alisema kuwa kila kitu kiko tayari kuhusiana na Studio hiyo, ambako kinachoendelea sasa ni upangaji wa mashine na vifaa mbalimbali kabla ya ufunguzi rasmi na kuanza kazi.
Aidha, Nature anayetamba na vibao kadha wa kadha moto wa kuotea mbali, alisema kuwa studio hiyo itakapokamilika na kuanza kazi, itashughulika na kurekodi kazi za muziki wa aina mbalimbali.
No comments:
Post a Comment