PC MAINTENANCE

PC MAINTENANCE
Ninatengeneza computer za aina zote-:HP,COMPACT,GETWAY,DELL,TOSHIBA n.k.,
Ninatengeneza computer yoyote ile iwe Desk top au laptop,
Ninatengeneza computer yenye tatizo lolote lile liwe software
au hardware.
SOFTWARE
(1)FORMAT
Katika software,ninaformat machine yoyote ile kwakutumia
window yoyote anayo taka mteja kati ya window hizo ni kama
 WINDOW XP 2006,WINDOW VISTA NA WINDOW SERVEN n.k.
(2)REPAR
Na nina REPAR machine yoyote ile kutokana na tatio lilipo
katika hiyo machine,ninarepar machine ya mteja kutokana na
yeye anavyo taka mteja,nina repar machine pasipo kupotoze
data yoyote ile iliopo kwenye machine,mteja yupo huru kutoa
option yoyote ile ifanyike kwajinsi anavyo taka yeye katika
machine yake.
(3)PROGRAM
Mteja atapatiwa program yoyote ile anayo itaka yeye awekewe
kwenye machine yake,na kila program moja itakuwa ni sh 5000/=
ya kitanzania.na unaweza ukalipia ata kwa dola.mteja akitaka
program tatu atalipia mbili na moja itakuwa ni FREE.
(4)UPDATE ANTVIRUS
Mteja atachagua anataka Antivirus ya aina gani iliiweze kumsai
dia kuzuia virus ktk machine yake,kuna antivirus za aina nyingi
kama:-AVG,AVIRA,MACFEE,ESETDONOD,KASPERSKY,RISING n.k.
(5)JINSI YA UTUMIA PROGRAM
Kama mteja ataitaji program ambayo yeye ametokea kuipenda then
ajui jinsi ya kutumia atafundishwa jinsi ya kutumia hiyo progam
kila program atakayo fundishwa atafundishwa wa garama ndogo ya
Tsh 10000/=.
                                               INAENDELEA

1 comment: