IBRA alimaharufu kama Roma ni mchizi ambaye anahusika sana na Maswala ya Technologia bro anasoma computer scince ktk chuo kimoja kikubwa hapa Tz as Mlimani,Mchizi upande wa pili ni Balozi wa Watanzania ktk nyanja ya Muziki,Roma ni Mfalme wa HIP HOP mwaka 2010,anafanya mziki wa ukwali sana,na kwa sasa ngoma yake kali inayobamba zaidi ni Mechi za Ugenini akiwa amempa shavu Jose Mtambo.Albamu hipo JIKONI:
No comments:
Post a Comment