Am back/nimerudi tena kama kawa na blog yangu ya toka enzi izo 2010.

kwa muda mrefu takribani kama miezi 7 nilikua bize sana na mambo yangu so nikashindwa kuupdate blog yangu so napenda kuwa taharifu kua kuanzia leo mambo yananza upya kama zamani habari moto moto,tena za moto moto,habari zote za michezo,burudani,siasa,na kila kitu katika nchi yetu na nje ya nchi pamoja na za kunihusu mimi.so endelea kufuatilia mpaka mwisho blog yako ya kijanja ya toka enzi izo za mwaka 2010.

No comments:

Post a Comment