Pozzy kwa Pozzy(Ommy Dimpoz) anadondosha ngoma mpya

Mchizi aliye tamba kwenye game yetu ya mziki wa bongo na ngoma kali ya Nai nai, na akijibembea tunzo mbili ambazo ni msanii bora chipukizi na nyimbo bora ya kushirikiana akiwa na Alikiba kwa ngoma hiyo hiyo ya nai nai,Kwa mujibu wake amesema kesho ataachia nyimbo yake kwenye kipindi cha Claudz fm.

No comments:

Post a Comment