Nawaomba
sana Watanzania, Tumsaidieni ndugu yetu msanii wa filamu SAJUKI anaumwa
sana na anahitaji kwenda kutibiwa INDIA mapema iwezekanavyo!! Waweza
kumchangia kupitia AKIBA BANK Account number 050000003047 Jina la mwenye
account ni mkewe WASTARA JUMA au M PESA Number 0762189592. Asanteni
sana, Tumuombe na Kumshukuru Mungu kwa kila Jambo!
No comments:
Post a Comment