MISS REDD’S ARUSHA CITY CENTRE 2012 KUJULIKANA LEO JUMAMOSI

Washiriki wa Kitongoji Kanda ya Kaskazini, Miss Arusha City Center 2012, wakiwa katika picha ya pamoja, tayari kwa kuchuana vikali usiku wa leo JumamosI Mei 5, 2012
ndani ya hoteli ya Kitalii, Naura Springs iliyopo katikati ya jiji la Arusha. Shindano hilo kiingilio chake kimepangwa kuwa ni viti maalum sh. 25,000/= na kwa viti vya kawaida sh 15,000/=
Washiriki wa Miss Arusha City Center 2012 wakiwa katika picha ya pamoja tayari kwa kuchuana vikali leo.

No comments:

Post a Comment