Basi la NBS limepata ajali leo na watu bahadhi kufariki.
Leo saa nne asubuhi imetokea
ajali ya basi la NBS lililokua likitokea Tabora kwenda Arusha ambapo
lilipasuka Tairi la mbele likagonga mti na kuung’oa na kisha kupinduka
ambapo hadi sasa kuna maiti sita zilizofikishwa chumba cha maiti.
Sophiakessy.blogspot.com
imeandika kwamba Waliofariki pia ni pamoja na dereva wa basi hilo ambae
mwili wake bado haujatolewa kutokana na kubanwa sana ambapo mwili wake
unaweza kutolewa baada ya basi hilo kukatwa manake sehemu aliyobanwa ni
mbaya sana, naendelea kufatilia kupata taarifa nyingine.nitakujulisha
No comments:
Post a Comment