PETER MSECHU (TANZANIA) - WINNER TUSKER ALL STARS - 2011
Shindano la Tusker All Stars lililoanza 26 June,2011 limefikia fainali jana tarehe 14 August,2011 kwa washindi watatu kupatikana
Alpha Rwirangira toka Rwanda (TPF 3 - Winner),Peter Msechu toka Tanzania (Mshindi wa 2 – TPF 4) na Davis Ntare toka Uganda (TPF 4 – Winner) wameibuka washindi na wamepata shavu la kupiga show same stage na wasanii wa kimataifa baadaye mwaka huu nchini Kenya.
No comments:
Post a Comment