East Africa Music Award

Muda huu kule Nairobi Kenya zinafanyika tuzo za East Africa Music Award (EMAS), na kutoka Tanzania hadi sasa walioshinda ni Msondo Ngoma katika Best Group of Rumba
Na kwenye Best Collabo Urban Contemporary ni AY & Mwana FA, waliotuwakilisha ni Msanii AY, Mabeste na mtangazaji kutoka Clouds FM B12

No comments:

Post a Comment