Am back(nimerudi tena nduguzangu).

Poleni sana ndugu zangu wapendwa kwa kunisubiria mpaka nilipo maliza mtihani Kiukweli mtihani nilimaliza salama,na ni mshukuru mungu,Na bahada ya kumaliza mtihani nilikuwa na tour kidogo ya hapa hapa Tanzania na njee kidogo nchini Rwanda kwa bibi na babu,bahada ya hapo nilikwenda singida nikaa siku kadhaa na sasa nipo Arusha natarajia Muda sio mrefu kurudi Dar es Salaam.,
Pia napenda kusema Asante mungu kwa kunipa uzima mpaka sasa bado nipo Hai nanimerudi tena katika mtandao wetu wakijanja kupata vitu vizuri zaidi na zaidi kila siku,Napenda kusema Mtafurahi na Mtaenjoy sana sana kama kawa kama dawa,.



Bahada ya kumaliza mtihani marafiki zetu tunao kaa nao hosteli walifanya tafrija Fupi kutupongeza Mimi Elias na Ma brother From Another mother Abac,Tafrija hiyo ilikuwa ya kipekee kwani mimi na mwenzangu tulifanyiwa kama Suprise hivi,sio siri tulifurahi nakuenjoy pamoja na ndugu zetu .
Picha kabla ya kukata keki
Keki ikakatwa na Abacy na Elias.
Nikimlisha Abacy keki,sio siri nilifurahi sana siku hiyo mpaka mwisho tulikula kunywa na kucheza tulikuwa wengi na tulifurahi wote.na kunapicha nyingi sana kama utaitaji kuziona Ni tumie sms Kwenye Email ya charlesselias@yahoo.com nitakutumia picha zote pamoja na movie nzima.

No comments:

Post a Comment