Si siri mpenzi natongozwa sana, ila nasimama imara nikiwaambia tayari wameshachelewa, wewe umenichukua na kuniweka ndani ya himaya yako, wakija kwako waambie NAFASI IMEJAAA! Huwezi kupenda wawili mmoja utamtesa, naomba penzi letu ling’ae na kuutangazia ulimwengu tunapendana…
********
God gave u 2 legs to walk, 2 hands to hold, 2 ears to hear, 2 eyes to see. But why did he give u only 1 Heart? Probably b’coz he wants u to look for the other.
******
Najiuliza kwanini nakupenda? Nakosa jibu, nadhani ni kwasababu nakupenda kwani kila kitu mwilini mwako kinanivutia, kuanzia sauti, mwendo, vaa, manukato, tabasamu, unvyotoa sauti za mahaba tuwapo faragha, na jinsi unavyonijali.Take care ….(taja jina lake)
******
What makes some people dearer is not just the happiness that we feel when we meet them but the emptiness we feel when they are not around us. I Miss U!
*********
Sweet ninapofumba macho sura yako angali yanijia, ninapopitiwa usingizini njozi zote huwa juu yako, ninapozinduka usingizini kila ninapoangalia naona sura yako, nakuita zaidi ya mara sita nasikia sauti yako ikiniambia…Nakupenda, taswira yangu ndiyo penzi la dhati…LUV U..
********
Never luk for a Gud Face, it'll turn old one day; Never luk for a Gud Skin, it'll wrinkle one day; But luk for a loyal heart, that'll miss u every day
*******
Ungejua ninavyokupenda usingejaribu kuniudhi, kwa kuwa nakupenda kutoka moyoni maudhi yako nayachukulia kama sehemu ya furaha yangu kwani nakupenda, sitokuacha daima dumu kwani wewe ndiye chaguo la moyo wangu…Umenipata?
*******
THIS LOVE IS LOVE THE LOVE BEST LOVE WAY LOVE 2 LOVE SAY LOVE 2 LOVE U LOVE THAT LOVE I LOVE MISS LOVE U LOVE read it again without word "LOVE"
********
Wapenzi wengi wanapenda pesa zaidi ya kumpenda mtu, hao ni wale wasiojua mapenzi ni nini, naomba nikuambie ukweli wewe ni nguzo isiyooza moyoni mwangu, nitaendelea kupeperusha bendera ya mapenzi ya kweli kama damu inavyozunguka mwilini mwa kiumbe hai licha ya kiumbe hicho kuwepo usingizini. Penzi lako siwezi fananisha na kiumbe yeyote…
******
Najisikia mpweke kuwa mbali nawe, najisikia furaha ninaposikia sauti yako, najiona mpenzi bora ninaposoma meseji yako... nimemisi vitu vingi ikiwa ni joto lako, naomba licha ya kuwa mbali nami usinisaliti kufanya hivyo ni kutafuta ‘shotikati’ ya kwenda ahera, nakupenda vumilia hadi tutakapokutana tena…my darling....
******
In My Life I learned how 2 smile. How 2 Laugh. How 2 Hard Work. How 2 Love. How 2 Cry. but i neva learned how 2 stop MISSING YOU...em MISSIN YA SO MUCH JANU
*********
Kuwa mbali nawe si kigezo cha kukusaliti, wapo wanandoa ambao kila siku wapo na wandani wao lakini wanawasaliti, nakuheshimu, nakujali na nitautunza mwili wangu ambao mmiliki ni wewe, siwezi kuukodisha wala kumuuzia mtu mwingine….Macho na moyo wangu vimejaa uaminifu…Usiwe na wasi…niwako milele…
******
Even without seeing u, even without smilling with u, even without joking with u, i'll never fail to remember u, coz u're the one i miss & desire
*****
Naweza kuchangia choo kimoja, naweza kuchangia bafu moja, naweza kuchangia meza moja, naweza kuchangia sofa moja, naweza kuchangia kiti kimoja, lakini kato siwezi kuchangia mapenzi…huo kwangu ni mwiko wa milele my dear…(taja jina lake).
No comments:
Post a Comment