Vitu 8 ambavyo wanaume wanavipenda wakati wa kufanya mapenzi na mwanamke

Wanawake wengi hushangaa pindi mpenzi wake wa kiume au mume wake anapobadilika ghafla na kuanza uhusiano nje. Hali hii huchangiwa na vitu vingi ambavyo mwanamke mwenyewe ndio anayesababisha mwanaume kumkimbia.

Sasa, hapa chini kuna vitu nane ambavyo mwanaume huvichukiwa wakati akiwa anafanya mapenzi na mwanamke. Vitu hivi vinatakiwa kuzingatiwa na mwanamke ili kuhakikisha kwamba anadumu na mpenzi wake huyo.

1.Wakati wa kufanya mapenzi wanawake wengine hawashughuliki kabisa – wanalala tu chini na kusubiria mikito kutoka kwa mwanaume. Hicho ni kitu kibaya mno kwa mwanamke, wanaume wanachukia sana. Mwanamke anatakiwa kushughulika licha ya kwamba amelaliwa na mwanaume. Mwanamke unatakiwa kumuonesha mpenzi wako kwamba unajisikia raha kufanya naye mapenzi.

2.Kila mwanamke anapenda sana busu (Yaani kubusiwa). Na hivyo hivyo kwa mwanaume. Mwanaume anapenda kubusiwa na mpenzi wake wakiwa wanafanya mapenzi. Wanaume wanapenda mwakamke awabusu kila sehemu hasa kifuani na mdomoni. Mwanaume huwa anasikia raha ya ajabu akiwa anabusiwa na mwanamke wakati anafanya naye mapenzi na kucheza naye na kumfanyia mdhaha.

3.Kuna baadhi ya wanawake wana mawazo ya kizamani, wanadhani kwamba wakati wa kufanya mapenzi, mwanaume ndio awe kiongozi wa kila kitu. Mwanmke ukifanya hivyo unafanya kosa kubwa sana. Muoneshe mwanaume kwamba anapenda kufanya mapenzi kwa kuwa wa kwanza kumlaza unavyotaka wewe. Kwani kwa kufanya hivyo mwanaume hatakuacha ng’o. Kuna wakati wanaume wanapenda sana kumilikiwa na mwanamke wakati wa kufanya mapenzi.

4.Uwe makini mno kwa mwanaume wako. Wanawake wanapenda kuwa na mwanaume makini, hivyo na wewe jaribu kufanya kama hivyo kwa mwanaume wako wakati wa kufanya mapenzi.

5.Kama unataka mwanaume wako awe anakupa furaha kila wakati, na wewe jitahidi kufanya hivyo. Kuna wanaume wengine wanafikiri kwanba wanawake wakiwa kitandani hawajali chochote juu ya hisia zake. Mwanamke mara zote anatakiwa kukumbuka kumuuliza maswali mwanaume, kwa mfano “umeipenda staili hii?”, “Unajisikiaje?” Mfanye kwamba unajali kile anachokifikiria.

6.Usimfumbe mwanaume wako. Kuna wanawake wengine hawaoneshi hisia zozote– na kwamba inamfanya mwanaume kushindwa kuelewa kama unapenda au hujisikia raha. Usione aibu kutoa migumo pale inapobidi, kwani wanaume wengi wanaipenda sana hali hiyo.

Piga keleleza za mahaba, kwa sababu hiyo ndio njia nzuri ya kumfanya mwanaume wako ajisikie raha kupita kiasi. Na hiyo itakusaidia hata wewe. Mwanaume wako atajua kwamba unajisikia raha kwa kila anachokufanyia na atazidi kukupenda.

7.Mwanamke unatakiwa kumuweka azi mwanaume wako kwamba unapenda kufanya naye mapenzi kwa mtindo gani. Hili litakusaidia sana, kwani ataona kwamba unamjali sana. Hata ikibidi mfundishe zile njia ambazo mwanaume wako hazijui.

8.Wanaume wengi wanawapenda sana wanawake wanaoonesha hamu ya kufanya mapenzi, kwani yeye hujisikia fahari ya ajabu.

No comments:

Post a Comment