Laptop ninayo tumia ni Hp 500





                                                                  Keybord;
                                                             
Spika za masikion

                                                                  Motherbord
Naipenda sana laptop yangu kwa sababu ina ni rahisiashia mambo yangu ya shule na mengine mbalimbali naipenda na kuhidhamini kama mpenzi wangu i love it,mimi kama Techncian napenda kukushauri we tumia laptop dizaii ya hp kwani ni imara na ninzuri sana na vifaa vyake vinadumu kwa muda mrefu na vip cheep sana madukani.

No comments:

Post a Comment