"Ukiona kiza kinazidi sana ujue karibu kunapambazuka" na sasa kumekucha!.. huu ni mzigo ambo mamilion ya watu ulimwenguni wameusubiria saana "DAIMOND -NITAREJEA" na sasa Video iko tayari, stay tuned MziGo unadondoka soon...!
Video imetengenezwa na Visual Lab Next Level chini ya Producer Adamu Juma.
No comments:
Post a Comment