R .O.MA mzigo mpya kudondoka

Ni katika viwanja Vya TONGWE RECORD,Roma msanii wa kizazi kipya katika upande wa HIP HOP,sasa yupo katika harakati ya kudondosha nyimbo ambayo anatengenezewa pale pale nyumbani TONGWE RECORD,hivi karibuni nyimbo hiyo itakuwa Tayari Redioni.
                                       

No comments:

Post a Comment