Mke wa Slaa achezea kipigo

Siku mabayo mamia ya wanachama wa chadema walijotokeza kuandamana huko Arusha,mama mabaye anatarajia kuwa mke wa mhe dkt Willbrod Slaa katibu wa chama cha demokrasia na maendeleo(chadema) nae ulifika katika manadamano hayo huko Arusha,mama huyo alipigwa vibaya mno na polisi wa kutuliza ghasia mkoani Arusha,mama huyo alipigwa na kupasuliwa maeneo ya kichwani.

No comments:

Post a Comment