Mazishi ya mwnachama wa chadema

Wakionekana wakiwa na uzuni mkubwa,bahada ya kutokea kifo cha mwanachama mmoja wapo kai ya wawili walio fariki dunia karika maandano ya chama hicho cha chadema,bwana Denis Michael Shirima alifariki dunia bahada ya kupigwa risasi na polisi wa mkoa wa Arusha,Hapo inaonekana viongozi pamoja na wanachi wakiutoa mwili wa marehemu wakielekea kwenye mazishi.Aliyoko mbele kushoto kavaa miwani ni Mwenyekiti wa chama cha chadema ndugu Fremani Mbowe.

No comments:

Post a Comment