Jamaa wana asira

Wafuasi wa chadema wakisubiria kuhanza maandamano,wakiwa kwa dizan tofauti wengine kwa miguu,baiskeli,magari na asilimia kubwa wakiwa na pikipiki.

No comments:

Post a Comment