Gucci mane kajipiga tattoo mpya kubwa…. Ni tattoo yenye mchoro wa koni, tena zile lamba lamba zile… Alafu kajipiga usoni sasa.. yani ukiwa unamuangaliwa Gucci mane.. unachoona kwanza ni koni usoni...Gucci mane ni mmoja kati ya ma rapper wanoongoza kwakua na skendo kwa hivi sasa yani juzi kati tu alikua ameingizwa kwenye kitio cha watu wenye matatizo ya akili na baada ya kutoka tu kaenda kujitupia tatoo usoni swali kila mtu analojiuliza ni kua nini kilochomfanya Gucci apige tatoo ya koni usoni?......................
OVER THE GUCCI
No comments:
Post a Comment