Baba mzazi wa Bwana Misosi Kafariki dunia leo.

mida flani yaa saa nne nimepokea ujumbe mfupi kutoka kwa bwana misosi unaosema
"baba yangu mzazi, mzee Gabriel Rushashu kafariki dunia muda huu hapa regency hospital,mazishi yanafanyika siku ya jumamosi , kinyerezi kibaga. mungu ailaze roho yake mahari pema peponi amen.

No comments:

Post a Comment