Elimu yangu ya Chuo ni muunganiko wa inchi mbili yani Tanzania na Uingereza Nafuraihia na ninaenjoy,ninatarajia mazuri hapo badae kutokana huduma nzauri ya elimu ninayo ipata kama mwanafunzi tena wa kitanzania.Mungu ibariki DTC(Tanzania) na Mungu ibariki CITY AND GUILDS(England).
No comments:
Post a Comment