Nashukuru mungu nimemaliza fild salama sasa najianda kurudi chuo.

Mungu ni muweza wa yote daima na niweza mkubwa sana katika maisha yangu .tarehe 28/03/2011 ndo siku ambayo nimemaliza fild yangu niliyo kuwa nafanyia katika ofisi ya Tanesco Mkoa wa singida nasema Asante mungu kwa kunifanikishia kwa hili,pia na penda kumshukuru ICT Head of Dipartment wa tanesco ndugu Humphrey Chonya kwa kunipa kile ambacho kinastaili,pia napenda kuwa shukuru Staff wote wa Tanesco wa Mkoa wa singida kwa Ushirikiano walio nipa siku zote za mieze mitatu ya fild, shukurani za mwisho ni kwa mwasibu na Meneja wa mkoa wa singida kwa kunilea vizuri kimavunzo na kimaslahi.Asanteni sana


No comments:

Post a Comment